Nenda kwa yaliyomo

Ebertfest

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ebertfest ni tamasha la filamu la kila mwaka ambalo hufanyika mwezi Aprili huko Champaign, Illinois, Marekani, ikiandaliwa na chuo cha habari cha UIUC College of Media[1] katika chuo kikuu cha Illinois huko Urbana–Champaign. Roger Ebert, mkosoaji wa filamu kwenye runinga na jarida la Chicago Sun-Times, alikuwa mkazi wa mji wa Urbana, Illinois na ni mwanafunzi wa zamani wa chuo kikuu hicho.[2]

Ilianzishwa mnamo mwaka 1999 ikipewa jina la "Roger Ebert's Overlooked Film Festival", ambapo tukio hili limekuwa tamasha lakipekee kwa muda mrefu lililotokana na ukosoaji wa filamu.[2][3] Ukiachana na kifo cha Ebert mwaka 2013,[2] tamasha lomekuwa likiendelea kufanyika kwakufuatia maelezo na maono ya Ebert kwa aina za filamu ambazo zimekuwa zikishindaniwa.[4][5]

Tamasha la mwaka 2020 halikuweza kufanyika kutokana na janga kubwa la COVID-19. Toleo la 22 la tukio limepangwa kufanyika mwezi wa tisa mwaka huu(2021).[6]

Mabadiliko ya jina

[hariri | hariri chanzo]

Mwezi Aprili mwaka 2007 ilitangazwa kuwa kwanzia mwaka 2008 ikiizamwa kuwa awamu ya kumi ya tamasha jina litabadilishwa na kuitwa "Roger Ebert's Film Festival",[7] japo kawaida inajulikana kwa jina la Ebertfest. Hichi hakikubadili falsafa ya tukio zima [8]imesaidia kuondoa adha ya kuelezea uwepo wa filamu za hivi karibuni na ambazo bado hazijatoka zinajumuishwa kwenye tamasha. Mara kwa mara imekuwa ikitaniwa kama "iliyotazamwa."[9]

Tangu ilipoanzishwa mwaka 1999, Ebertfest imefanyika kwenye tovuti ya [10], sinema ya zamani huko Champaign iliyojengwa mwaka 1921 na iliyowekwa kwenye orodha ya kumbukumbu ya maeneo ya kihistoria.[11][2] Sinema kwa sasa inamilikiwa na Champaign Park District. Ebert aliwahi kuongelea kuhudhuria filamu huko Virginia kipindi anakua huko Champaign-Urbana na pia aliwahi kuwa mwanafunzi chuoni hapo.[12] Ilikuwa ni nia ya Ebert kwamba wahudhuriaji wote wa tamasha waweze kuangalia filamu zote kwenye sinema moja kwa ajili ya kujenga hisia ya jamii kwa wapenzi wa filamu.[13]

Mwaka 2014, sanamu ya shaba ya Roger Ebert ilifunuliwa nje ya sinema ya Virginia kama ishara ya ushuru kwa Ebert na Ebertfest.[14]

Kwa kupitia michango, sinema ya Virginia imekuwa na uwezo wakuwa na vifaa bora kwenye upande wa maonyesho na sauti yenye uwezo mkubwa ambayo ni toleo la hivi karibuni.[15][16] Pazia la sinema lina upana wa futi 56 na urefu wa futi 23 , ikiwa na eneo la picha inayoonekana hadi futi 50 upana na futi 21½ urefu. Wazungumzaji wakuu wanakaa nyuma ya pazia wakati wa maonyesho ya filamu na imeongezwa na vipaza sauti 36 kuwazunguka.[17]

Ala kwenye hizi visasisho zimekuwa mashuhuri huko Chicago kulingana na mtabiri nguli James Bond ambaye anakuwa mtabiri wakati wa Tamasha .[18]

Tangu mwaka 2013, sinema ya Virginia imekuwa na uwezo wa kupokea watu 1,463.[19] sinema ikafungwa tangu 2012 mpaka April 2013 kwa ajili ya ukarabati ikijumuisha kubadili viti vyote. Uwezo ukashuka kutoka 1,550 hadi kufikia 1,463 lakini viti vilivyowekwa vilikuwa vya starehe zaidi na sinema ikawa ikitoa viti vya walemavu na kuwezesha ufikiaji wa marafiki.[20]

Tamasha hili ni mjukuu wa moja kwa moja [21] wa mpango iliyowekwa kwenye chuo kikuu cha Illinois huko Urbana–Champaign miaka ya 1997 ikipewa jina la Cyberfest ambayo ilitumia siku ya kuzaliwa inayodhaniwa ya HAL 9000|HAL (kompyuta kwenye filamu ya 2001: A Space Odyssey (film)|2001: A Space Odyssey ikiangazia ushiriki wa chuo hicho kikuu kwenye historia ya kompyuta.[22] Filamu hiyo ikatakiwa kuonyenywa kama sehemu ya tamasha la Cyberfest, ambapo Roger Ebert alikubali kuwa mtayarishaji akishirikiana na muigizaji Gary Lockwood kama mgeni rasmi.[23]

Lilitolewa wazo la kuonyesha filamu hiyo ambayo ilikuwa yenye uhalisia na yenye ubora wa hali ya juu. Mpango wa mwanzo ulikuwa kufanya uchunguzi kwenye chuo kikuu hicho kwenye kitengo cha sanaa ila swala la muda na changamoto zingine nyingi zilichangia kutokuwezekana kwa mpango huo . Mtu mmoja akapendekeza kuangalia uwezekano wa mpango huo kufanyikia kwenye sinema ya Virginia (Champaign), kutokana na uwezo wa eneo hilo wakuonyesha filamu yenye ubora wa hali ya juu kipindi cha nyuma. Katika nafasi hii sinema hiyo inamilikiwa na kikundi cha maonyesho ya nyumbani ambao wamekuwa wakiendeleza mchakato mzima wa filamu tangu iuzwe na mnyororo wa wamiliki. Wahusika wote walishangazwa na kuachwa kwa projekta kubwa ya maonyesho pamoja na spika.Vifaa vingine vimekuwa vikiletwa kwa maonyesho maalum na baada yakumaliza kuvitumia huondolewa.

  1. "The Roger Ebert Center". media.illinois.edu. University of Illinois College of Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-05-12. Iliwekwa mnamo 19 Mei 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 "Milestones in the life of Roger Ebert", April 5, 2013. 
  3. Bordwell, David (Mei–Juni 2013). "The Fifth Estate: How Roger Ebert personified the critic as conversationalist". Film Comment. 49 (3): 12–13.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Kohn, Nate (Aprili 2015). "Festival remains true to Ebert's vision" (PDF). ebertfest.com. uk. 11. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 9 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Caro, Mark. "Chaz Ebert's mission goes on", January 12, 2014. 
  6. Ebert, Chaz (Agosti 12, 2020). "Ebertfest Film Festival Announces Newly Revised Dates: September 8-11, 2021". RogerEbert.com. Iliwekwa mnamo Februari 5, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Emerick, Laura. "’Overlooked’ becomes a lovefest …", 30 April 2007, p. Features, 53. 
  8. Chamberlain, Craig (15 Oktoba 2007). "Passes for 10th Ebert film fest, no longer 'overlooked', go on sale Nov.1". news.illinois.edu. Illinois News Bureau. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. Emerick, Laura. "Ebert’s overlooked films get a shot", 25 April 2005, p. Features, 62. 
  10. http://thevirginia.org/history/ Virginia Theatre
  11. Emerick, Laura. "A community for cinema: Ebert and fans give bypassed movies an avid audience", May 1, 2006, p. 39. 
  12. Silverberg, Melissa (Aprili 2011). "Renovations bring local treasure back to life" (PDF). ebertfest.com. uk. 15. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 9 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. "On with the show", April 26, 2006. 
  14. Weber, Ryan (Aprili 2014). "Life-size statue commemorates Ebert" (PDF). ebertfest.com. uk. 17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 9 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  15. "FAQs/General Festival Questions". eberfest.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  16. "Sponsors" (PDF). ebertfest.com. Aprili 2014. uk. 84. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 9 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  17. "Venue Rentals". thevirginia.org. Champaign Park District. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  18. Ebert, Chaz (Aprili 2014). "Welcome to Ebertfest!" (PDF). ebertfest.com. uk. 7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 9 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  19. "The Virginia Experience". thevirginia.org. Champaign Park District. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  20. Vorel, Jim. "Champaign’s Virginia Theatre begins final phase of renovation", May 24, 2012. 
  21. "The history of Roger Ebert's famed film festival". Daily Illini. Aprili 8, 2013. Iliwekwa mnamo 20 Mei 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  22. Wurth, Julie (1997). "1997: The Coming of HAL". boraski.com. Obelisk: The Cyberfest Newssite. Iliwekwa mnamo 20 Mei 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  23. Kestenbaum, David S. (Machi 17, 1997). "Cyberfest Celebrates HAL in Urbana". Wired. Iliwekwa mnamo 20 Mei 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)