E pluribus unum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Maneno ya E pluribus unum yaonekana kwenye kanda mdomoni mwa tai katika nembo la Marekani

E Pluribus Unum ni wito la Marekani linalopatikana kwenye nembo la taifa na kwenye benknoti ya dolar moja.

Wito hili ni kutoka lugha ya Kilatini likimaanosha "Moja kutoka wengi" yaani Umoja umetokana na maungano ya pande mbalimbali. Neno limechaguliwa kwa sababu lilionyesha umoja wa koloni 13 zilizoasi dhidi ya Uingereza na kuwa chanzo cha Marekani.