Dufourspitze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kilele cha Dufourspitze (kulia) pamoja na Ostspitze na Grenzgipfel

Dufourspitze ni mlima wa Alpi katika nchi ya Uswisi (Ulaya).

Urefu wake ni mita 4,634 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dufourspitze kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.