Nenda kwa yaliyomo

Dsamou Micheline

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dsamou Micheline (alizaliwa mnamo Juni 1 1947) ni raia wa Kamerun ni Mfamasia na Mwanasiasa pia. Amehudumu kama seneta katika bunge la Cameroon tangu Machi 2018.

Dsamou pia ni mjasiriamali. Baada ya kumaliza masomo yake, aliamua kurejea Kameruni ili kuchangia maendeleo ya nchi wakati wa ukuaji wa uchumi. [1]

Wasifu wa Kisiasa

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Septemba 2011, Dsamou alichaguliwa kama mjumbe mbadala wa kamati kuu ya (Cameroon People's Democratic Movement). [2] na mwaka 2018, alichaguliwa kama seneta. Pia alichaguliwa tena kama seneta mnamo Machi 2023.[3] [4]

  1. "Cameroun: La milliardaire Dsamou Micheline lance le plus gros projet agro-industriel". CamerounWeb (kwa Kifaransa). 2023-03-07. Iliwekwa mnamo 2023-03-09.
  2. "Les Membres Suppléants du comité Central" [Alternate Members of the Central Committee]. Site Web Officiel du RDPC (Rassemblement Démocratique du Peuple Camerounais) | Cameroon People's Democratic Movement (kwa Kifaransa). 11 Septemba 2011. Iliwekwa mnamo 2023-03-09.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Les Sénateurs élus du RDPC | CPDM". Senatoriales Comité Central du RDPC | CPDM. 2018. Iliwekwa mnamo 2023-03-09.
  4. "Les Membres Suppléants du comité Central" [Alternate Members of the Central Committee]. Site Web Officiel du RDPC (Rassemblement Démocratique du Peuple Camerounais) | Cameroon People's Democratic Movement (kwa Kifaransa). 11 Septemba 2011. Iliwekwa mnamo 2023-03-09.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dsamou Micheline kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.