Drona (filamu ya 2008)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Drona ni filamu ya Uhindi ya mwaka 2008 iliyoongozwa na Goldie Behl. Wahusika wakuu katika filamu hii ni Abhishek Bachchan, Priyanka Chopra, Kay Kay Menon na Jaya Bachchan.

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Drona (filamu ya 2008) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.