Driss el-Yazami
Mandhari
Driss el-Yazami (alizaliwa 1952 huko Fez, Moroko) ni mwanaharakati wa haki za binadamu wa Moroko. Alikuwa rais wa baraza la kitaifa la haki za kibinadamu (CNDH) nchini Moroko kati ya Machi 2011 na Desemba 2018.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Driss el-Yazami kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |