Doroth Kipeja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Doroth Kipeja ni mtengeneza video za Bongo Flava na Filamu nchini Tanzania. Kampuni aliyoko inaitwa 'Tripod Media.' Moja ya filamu ambazo amewahi kutengeneza ni ile ya Fake Pastors ambayo imempatia umaarufu.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Doroth Kipeja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.