Nenda kwa yaliyomo

Doris Jean Austin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Doris Jean Austin
Amezaliwa Doris Jean Austin
alizaliwa 1949 – Septemba
nchini Marekani.
Amekufa alikufa 1994 - September
marekani
Kazi yake mwandishi wa habari na vitabu

Doris Jean Austin (1949Septemba 1994)[1] alikuwa mwandishi wa habari na mwandishi wa vitabu wa nchini Marekani.

Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Doris Jean Austin alizaliwa mwaka 1949 katika jimbo la Alabama, nchini Marekani, alilelewa na mama na bibi yake. Austin alihamia katika mji wa New Jersey akiwa na umri wa miaka sita na kusoma katika shule ya Lincolin High School, alianza kuvutiwa katika uandishi wa vitabu na mwalimu wake wa somo la Kiingereza alokuwa akijulikana kama Ercell Webb, Austin alilelewa katika nyumba ya Wasabato, na alifariki mwaka 1994

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Doris Jean Austin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.