Nenda kwa yaliyomo

Doreen Kilimbe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Doreen Kilimbe (Doddo) (alizaliwa mkoa wa Mwanza, 9 Novemba 1996) ni mtunzi na mwandishi wa miswada ya filamu na vipindi vya runinga nchini Tanzania. [1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Doreen alisoma shahada ya uhasibu Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)[2] pia alipata mafunzo ya utengenezaji filamu kutoka Chuo cha Multichoice Talent Factory nchini Kenya mwaka 2022 [3].

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Filamu alizoandika[hariri | hariri chanzo]

  1. Cheza[4]
  2. Eastzuu
  3. The Midnight Bride[5]

Alizoshiriki kama msimamizi Mswada[hariri | hariri chanzo]

  1. Cheza[6]
  2. Stinger[7]
  3. Mke mwenza

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Doreen Kilimbe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.