Doreen Andoh
Mandhari
Doreen Andoh | |
Nchi | Ghana |
---|---|
Kazi yake | mtangazi wa redio |
Doreen Andoh ni mtu wa nchini Ghana, mtangazaji wa redio na runinga. Pia ni balozi wa bidhaa mbalimbali. Amefanya kazi kwenye redio kwa zaidi ya miaka 20 kwa hivyo yeye ni mmoja wa watangazaji waliodumu kwa muda mrefu kwenye eneo la Ghana.[1][2][3]
Hivi sasa ni mtangazaji wa vipindi vya redio vya asubuhi kwenye redio ijulikanayo kama Joy FM na mara nyingi anaelezewa kama malkia wa redio ya Ghana.[4]
Tuzo
[hariri | hariri chanzo]Doreen alikuwa mwanamke wa kwanza kupokea Tuzo ya mtangazaji bora wa mwaka mnamo 2001. Amepewa hadhi kama Malkia wa Airwaves na Mtandao wa Wanawake wanaoongoza, na mnamo mwaka 2013 alishinda tuzo ya mtangazaji bora wa kike Ghana Tuzo za Wanawake.[5][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ghana, News. "Doreen Andoh Appointed Shield Paint Brand Ambassador". News Ghana. Iliwekwa mnamo 2016-04-09.
{{cite web}}
:|first=
has generic name (help) - ↑ Quansah, Hadiza Nuhhu-Billa. "Doreen Andoh: Radio's queen of quality - Graphic Online". www.graphic.com.gh. Iliwekwa mnamo 2016-04-09.
- ↑ 3.0 3.1 "Doreen Andoh marks 25 years with The Multimedia Group Limited". MyJoyOnline.com (kwa American English). 2020-06-28. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-18. Iliwekwa mnamo 2020-10-02.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ Quansah, Hadiza Nuhhu-Billa. "Doreen Andoh: Radio's queen of quality - Graphic Online". www.graphic.com.gh. Iliwekwa mnamo 2016-04-09.
- ↑ "Joy Fm's Doreen Andoh wins outstanding female presenter at Ghana Women's Awards 2013". Myjoyonline.com. Multimedia Group Limited. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-04-18. Iliwekwa mnamo 2021-05-26.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Doreen Andoh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |