Nenda kwa yaliyomo

Donovan Mitchell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mitchell akiwa na timu ya Cleveland Cavaliers mnamo 2023

Donovan Mitchell Jr. (amezaliwa Septemba 7, 1996) ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa kulipwa nchini Marekani wa timu ya Cleveland Cavaliers wa Chama cha mpira wa Kikapu Marekani (NBA). Jina la utani "Spida",[1] alichaguliwa katika raundi ya kwanza ya drafti ya Chama cha mpira wa kikapu Marekani mwaka 2017 na kusajiliwa na timu ya Utah Jazz, ambayo aliichezea kutoka 2017 hadi 2022. Yeye ni All-Star wa Chama cha mpira wa kikapu Marekani mara tano.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Warriors, Kings among under-the-radar winners in 'Spida' trade". NBC Sports Bay Area & California (kwa American English). 2022-09-01. Iliwekwa mnamo 2024-06-25.