Cleveland Cavaliers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Samardo Samuels & Ramon Sessions.jpg

Cleveland Cavaliers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Cleveland, Ohio. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na LeBron James, Kyrie Irving.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cleveland Cavaliers kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.