Nenda kwa yaliyomo

Dong Hoi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dong Hoi

Đồng Hới (thành phố Đồng Hới) mji mkuu, Jimbo la Quang Binh, Vietnam, na km 500 kutoka kusini mwa mji wa Hanoi.. Kiwanja cha Ndege cha Dong Hoi km 6 kutoka kaskazini mwa mji wa Đồng Hới. Hifadhi ya Taifa ya Phong Nha-Ke Bang, kutoka kaskazini mwa mji wa Đồng Hới.