Donatha Damian Tibuhwa
Mandhari
| Donatha Damian Tibuhwa | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Kazi yake | Mhadhiri wa mikrobiolojia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam |
Donatha Damian Tibuhwa ni profesa wa mikrobiolojia katika Idara ya Biolojia ya Molekuli na Bioteknolojia (MBB), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Amejikita zaidi katika utafiti za bioteknolojia ya kuvu haswa maeneo ya uoto wa miombo, kuvu wa mchwa na sehemu za misitu.
Tibuhwa ni mkurugenzi wa kurugenzi ya masomo ya juu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.[1]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Donatha D. Tibuhwa". University of Dar es Salaam. University of Dar es Salaam. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-03-15. Iliwekwa mnamo 15 Machi 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Donatha Damian Tibuhwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |