Disney Junior

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Disney Junior ni televisheni ya satelaiti ya Marekani ambayo inamilikiwa na Disney Channels, kitengo cha kimataifa cha Disney-ABC Television Group, yenyewe kitengo cha Disney Media Networks, mgawanyiko wa Kampuni ya Walt Disney.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Disney Junior" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.