Dinah Musindarwezo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dinah Musindarwezo ni mwanaharakati wa haki za wanawake Afrika kutoka Rwanda. Ni mkurugenzi wa sera na mawasiliano katika shirika la Womankind Worldwide, na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Mtandao wa Maendeleo ya Wanawake wa Afrika na Mawasiliano (FEMNET).

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2010 Musindarwezo alifanya kazi kama mtaalamu wa usawa wa kijinsia kwa msaada wa watu wa Norway nchini Rwanda.[1]

Mwaka 2012 alikua mkurugenzi mtendaji wa FENNET[2] huko Kenya[3] akiwa kama mkurugenzi mtendaji aliweza kuelezea hisiazake baada ya kukerwa na tamko la raisi wa Tanzania hayati John Magufuli la mwezi juni 2017, baada ya kuzuia kutokuendelea na masomo kwa wanafunzi wanaopata ujauzito wakiwa bado masomoni.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Global leadership: In Rwanda, women run the show", Christian Science Monitor, 2010-11-13, ISSN 0882-7729, retrieved 2022-03-01 
  2. Eve woman writer. Meet Ms Memory Kachambwa, the new FEMNET’s Executive Director (en). Eve Woman. Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
  3. Women in Post-genocide Rwanda Have Helped Heal Their Country (en). Culture (2014-04-04). Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dinah Musindarwezo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.