Nenda kwa yaliyomo

Diether Ocampo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diether Ocampo.

Diether Ocampo Pascual, maarufu kama Diether Ocampo (alizaliwa 19 Julai 1976), ni mwigizaji wa filamu na mwimbaji kutoka nchi ya Ufilipino.

Ocampo ni mshirika wa ABS CBN's maarufu kama Star Magic. Pia ni mmoja kati ya wamiliki wa jarida la wanaume linalojulikana kama Uno.

Ocampo anashikilia rekodi ya kuwa msanii pekee aliyesimama kama nyota katika tamthilia nyingi(10) kuliko msanii yeyote nchini katika historia ya sanaa. Katika mwaka 2007 pekee, amesimama kama nyota katika tamthilia za “Palimos ng Pag-ibig”, “Rounin”, “Princess Sarah” na “Margarita”.

MwakaFilamuAliigiza Kama
2005Nasaan Ka ManIto
2004Bcuz of URJ
2004VoltaAtty. Lloyd Ventura
2002BahidRodney
2002JologsMando
2001Ano bang meron ka?Jason
2001La Vida RosaDado
2000Gusto ko ng LumigayaLeo
2000Bukas Na Lang Kita MamahalinJimboy
1999SolteraEric
1999Gimik: The ReunionGary Ballesteros
1999Mula sa Puso: The MovieMichael Miranda
1999Bakit PaJoseph
1998Magandang HatinggabiLouie
1998Dahil Mahal Na Mahal KitaRyan
1997Calvento Files: The MovieRodolfo

Tamthilia

MwakaTamthiliaAliigiza Kama
2007Princess SarahMaster Brandon
2007MargaritaBernard
2007Maalaala Mo Kaya: Blue RoseLester
2007RouninMaster Cadmus
2007Sineserye Presents: Palimos ng Pag-ibigRodel
2007Love Spell: Click na ClickJosh
2006Star Magic Presents: The Game of LoveGary
2006Komiks: Bahay ng Lagim
2006Star Magic Presents: Windows to the HeartDennis
2006Komiks: Bampy
2005Ikaw Ang Lahat Sa AkinIvan Ynares
2005Bora: Sons of the BeachDitoy
2004MarinaPrinsipe Lirio
2004'Til Death Do Us PartManuel
2003Sana'y Wala Nang WakasLeonardo Madrigal
2003ButtercupWinston Go
2001Recuerdo de AmorPaulo Jose Villafuerte
1999Saan Ka Man NaroroonBart
1997Mula Sa PusoMichael Miranda
1996Super Laff InHost/Himself
1996GimikGary Ballesteros
1995ASAPHost/Himself

Mbele ya kipaza sauti, Diether Ocampo anajulikana kama “Kapteni Mongrel” na bendi yake inayojulikana kama “Blow”. Katika bendi yake yeye ni muimbaji kiongozi, akishirikiana vema na, Kessenth "Col. Cabron " Cheng (mpiga Gitaa la solo), Emil Buencamino (Mpiga ngoma), Jasper “Pepe” Ong (Muimbaji msaidizi), na Empi K. Martinez "Obi Wakantoti" (mpiga gitaa la besi). Mpaka sasa bendi ina albamu mbili, Nice & Hard (2003) na Rock Manila (2005). Ilihifadhiwa 29 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine. Ilihifadhiwa 29 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.

Tuzo na Kuchaguliwa

[hariri | hariri chanzo]
MwakaFilamu/TamthiliaKamaShirika
2007Palimos Ng Pag-ibigMuigizaji Bora (kachaguliwa)PMPC STAR AWARDS FOR TV
2006Ikaw Ang Lahat Sa AkinMuigizaji bora mshindiPMPC STAR AWARDS FOR TV
2006Nasaan Ka ManMuigizaji bora msaidizi mshindiGAWAD TANGLAW
2006Nasaan Ka ManMuigizaji bora msaidizi (kachaguliwa)PASADO
2004Sana'y Wala Nang WakasMuigizaji BoraPMPC STAR AWARDS FOR TV
2002La Vida RosaMuigizaji Bora (kachaguliwa)GAWAD URIAN
2002La Vida RosaMuigizaji bora (kachaguliwa)FILM ACADEMY OF THE PHILIPPINES
2002Kundi la kutumainiwa zaidi (The Hunks akiwa na Piolo Pascual, Bernard Palanca, Carlos Agassi, and Jericho Rosales)Guillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]