Nenda kwa yaliyomo

Diego Causero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diego Causero

Diego Causero (alizaliwa 13 Januari 1940) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Italia ambaye alitumia maisha yake katika huduma ya kidiplomasia ya Vatikani.

Kuanzia mwaka 1992 hadi 2015, alihudumu kama mkuu wa ujumbe wa kidiplomasia wa Vatikani katika nchi kadhaa za Afrika na Ulaya.[1]

  1. Fink-Wagner, Urban. "50 Jahre Priester – Herzliche Gratulation an Erzbischof Causero" [50 years of priesthood – Congratulations to Archbishop Causero]. Schweizerische Kirchenzeitung (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 29 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.