Didier Kavumbagu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Didier Kavumbangu (alizaliwa 2 Mei 1988) ni mchezaji wa soka wa Timu ya taifa ya Burundi. Anacheza katika klabu ya Viktoria Otrokovice ambaye anacheza kama mshambuliaji.

kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Didier Kavumbangu ambaye alichezaea klabu ya yanga pale Jangwani na baadaye kujiunga klabu ya Azam Football Club. iliyopo Dar es salaam chamanzi.

kazi ya kitaifa[hariri | hariri chanzo]

Aliitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Burundi katika mashindano ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika ya mwaka 2012 na alifunga magoli mawili katika timu yake.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Didier Kavumbagu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.