Diana King
Mandhari
Diana King (amezaliwa tar. 8 Novemba 1970, mjini Spanish Town, Jamaika) ni mwimbaji wa muziki wa R&B, Dancehall na Pop kutoka nchini Jamaika. Diana alizaliwa kwa mama Muhindi na baba Mjamaika mweusi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Diana King official site Archived 9 Januari 2008 at the Wayback Machine.
- - Diana's Official Myspace
- Diana King at the Internet Movie Database
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Diana King kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |