Diana Hamilton (mwanamuziki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Diana Antwi Hamilton ni mwanamuziki wa nyimbo za injili wa Ghana mwenye tuzo kadhaa kwa jina lake. [1] Alishinda Tuzo ya Mwaka wa 2021 ya Mwanamke anaefatiliwa Zaidi kwenye 3Music Women's Brunch . [2] Mnamo Machi 2021, alikuwa miongoni mwa Wanawake 30 wa Juu Wenye Ushawishi Zaidi katika Muziki na Brunch ya Wanawake ya 3Music Awards . [3] Alitawazwa kuwa Msanii Bora wa Mwaka na Msanii wa Injili wa Mwaka katika Tuzo za Muziki za Ghana za 2021 mnamo Juni 26 na wimbo wake "Adom". [4]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Diana Hamilton,. www.ghanaweb.com.
  2. Diana Hamilton wins Most Streamed Female Act of the Year at 3Music Women’s Brunch - MyJoyOnline.com (en-US). www.myjoyonline.com. Iliwekwa mnamo 2021-03-10.
  3. Table 1: Top-most influential genera in geographic differences.. dx.doi.org. Iliwekwa mnamo 2021-03-17.
  4. Amoh (2021-06-27). #VGMA22: Diana Hamilton is Artiste of the Year (en-US). 3news. Iliwekwa mnamo 2021-06-27.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diana Hamilton (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.