Nenda kwa yaliyomo

Dhanalakshmi Sekar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dhanalakshmi Sekar (alizaliwa 5 Juni 1998) ni mwanariadha wa India kutoka Tamil Nadu. Alipata umaarufu baada ya kuwashinda wanariadha mkongwe wa India Dutee Chand na Hima Das katika mashindano ya 200m kwenye Kombe la Shirikisho la mwaka 2021. [1] Alionekana kwa mara ya kwanza katika Olimpiki akiwakilisha India katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2020. Alipigwa marufuku kwa kipindi cha miaka 3 kwa kukosa kipimo cha dawa za kusisimua misuli mnamo Mei 2022. [2]

  1. Selvaraj, Jonathan. "0-100 in 11.38: Meet Dhana Lakshmi Sekar, India's latest sprint sensation", India: ESPN, 16 March 2021. Retrieved on 4 October 2022. 
  2. "AIU bans sprinter Dhanalakshmi for three years". Hindustan Times (kwa Kiingereza). 2022-08-03. Iliwekwa mnamo 2022-10-12.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dhanalakshmi Sekar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.