Dewald Louw
Mandhari
Dewald Louw (alizaliwa Bloemfontein, 18 Juni 1986) ni mshindi wa msimu wa kwanza wa mashindano yaThe Afrikaans KykNET Idols nchini Afrika Kusini. [1]
Mnamo 2007 na 2008, Dewald alipata ofa ya kuchezwa kwa nyimbo zake mara nyingi kwenye redio bila malipo yoyote.
Kazi za muziki
[hariri | hariri chanzo]Albamu
Wimbo mmoja mmoja
- Idol
- In Jou Oë
- Free to Fly
- Nog 'n Hart
- Lekker Kry
- Liefkry
- How does it feel
- Valentyn
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bloemfontein's Dewald Louw Wins Afrikaans Idols". TVSA News Desk. 29 Agosti 2006. Iliwekwa mnamo 20 Mei 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dewald Louw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |