Dent Blanche

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Dent Blanche, upande wa Kaskazini

Dent Blanche ni mlima wa Alpi katika nchi ya Uswisi (Ulaya).

Urefu wake ni mita 4,356 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dent Blanche kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.