Nenda kwa yaliyomo

Denis Zakaria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Denis Lemi Zakaria Lako Lado (alizaliwa 20 Novemba 1996)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswisi, ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya Monaco na timu ya taifa ya Uswisi.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://web.archive.org/web/20190611000407/https://www.fifadata.com/documents/FWC/2018/pdf/FWC_2018_SQUADLISTS.PDF
  2. Damien Chédeville (2023-08-14). "Denis Zakaria is Monegasque!". AS Monaco (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Denis Zakaria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.