Nenda kwa yaliyomo

Denis Bélanger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bélanger akiwa na Voivod band katika Masters of Rock festival 2009

Denis "Snake" Bélanger (alizaliwa 9 Agosti, 1964) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Kanada. Yeye ni mwimbaji mkuu na mshairi wa bendi ya Voivod heavy metal.[1][2][3]


  1. "Voivod The Wake" Archived Machi 26, 2019, at the Wayback Machine. AllMusic Review by Thom Jurek
  2. Eric Davis (Februari 1992). "Welcome to the Machine" - SPIN Magazine. Juz. la 7. SPIN Media LLC. uk. 39. ISSN 0886-3032.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Voivod To Infini and Beyond" Archived Oktoba 3, 2019, at the Wayback Machine. Exclaim, By Greg Pratt, Jul 24, 2009
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Denis Bélanger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.