Nenda kwa yaliyomo

Debout Congolais

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Debout Congolais ni wimbo wa Kitaifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Ilkuwa imeandikwa na Reverend Father simon -Pierre Boka, iliyoundwa na Joseph Lutumba na kupitishwa mwaka wa uhuru wa nchi katika 1960. Wimbo huu ulibadilishwa na La Zaïroise, pia iliyoandikwa na Boka, mwaka 1971 chini ya mobutu. Tangu Laurent-Désiré Kabila alipoingia madarakani mwaka 1997, Debout Congolais imekuwa wimbo wa kitaifa.