Nenda kwa yaliyomo

Deanne Rose

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rose akiwa katika mashindano ya Olimpiki 2020 mnamo 2021

Deanne Cynthia Rose (alizaliwa Machi 3, 1999)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kanada ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Kanada.[3]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deanne Rose kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.