Deadpool

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Deadpool (Wade Wilson) ni mhusika wa tamthiliya kutoka kwa vitabu cha vibonzo katika Ulimwengu wa Ajabu iliyochapishwa na Marvel Comics.

Hadithi na mhusika ya hiyo iliundwa na Rob Leifeld mwaka wa 1991.

Deadpool alianza kama mwanadamu wa kawaida lakini sasa anatumiwa kama shujaa mwenye nguvu za ajabu na kwa sasa ni mmoja wa wahusika maarufu zaidi wa Marvel.