David Raya
Mandhari
David Raya Martín (alizaliwa 15 Septemba 1995[1]) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Catalonia, Uhispania, anayecheza nafasi ya golikipa katika klabu ya ligi kuu ya Uingereza Premier League ya Arsenal FC na timu ya taifa ya Uhispania.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "David Raya Martin - Goalkeeper - First Team - Blackburn Rovers". web.archive.org. 2019-07-07. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-07. Iliwekwa mnamo 2024-07-13.
{{cite web}}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)