David Ochieng Ouma
Mandhari
David Ochieng Ouma ni mwanasiasa wa Kenya ambaye ni kiongozi wa harakati za ukuaji wa demokrasia, akiwa mbunge wa eneo bunge la Ugenya.[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ myleader.co.ke. "David Ouma Ochieng' - MP - Ugenya Constituency". My Leader Kenya (MLK) (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-17.
![]() | Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |