Nenda kwa yaliyomo

David Hellenius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
David Hellenius 2013

Nils David Hellenius (amezaliwa tarehe 28 Februari, 1974) ni mchekeshaji, mwigizaji wa filamu na mtangazaji wa televisheni kutoka Uswidi.

  • Sommaren med Göran - En midsommarnattskomedi
  • Stockholm - Båstad
  • En gång i Phuket
  • Kärlek deluxe

Programu za TV

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Hellenius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.