Nenda kwa yaliyomo

David French Boyd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
David French Boyd


President of Auburn University
Muda wa Utawala
1883 – 1884
mtangulizi William Leroy Broun
aliyemfuata William Leroy Broun

President of the Louisiana State University
Muda wa Utawala
1877 – 1880
mtangulizi First LSU president
Muda wa Utawala
1884 – 1886
aliyemfuata Thomas Duckett Boyd (interim)

tarehe ya kuzaliwa (1834-10-05)Oktoba 5, 1834
Wytheville, Wythe County
Virginia, USA
tarehe ya kufa 27 Mei 1899 (umri 64)
Baton Rouge, Louisiana
mahali pa kuzikiwa Magnolia Cemetery huko Baton Rouge
mahusiano Thomas Duckett Boyd (brother)
Military service
Allegiance Confederate States of America
Service/branch Jeshi
Rank Major
Unit 9th Louisiana Infantry
Battles/wars American Civil War

David French Boyd (5 Oktoba 183427 Mei 1899) alikuwa mwalimu na msimamizi wa elimu uko Marekani.

Alikuwa mkuu wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Louisiana (LSU), ambako alifundisha somo la hisabati na falsafa ya maadili. Pia aliwahi kuwa rais kwa muda mfupi wa Chuo cha Kilimo na Ufundi cha Alabama (sasa Chuo Kikuu cha Auburn).

  • Germaine M. Reed, David French Boyd: Founder of Louisiana State University, LSU University Press, 1977.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David French Boyd kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.