Nenda kwa yaliyomo

Dave Genn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

David Robert Madison Genn (aliyezaliwa tarehe 2 Machi, mwaka 1969) ni mchezaji muziki, mtayarishaji, na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Kanada. Pia ni mwanachama wa kundi la rock , na alikuwa mwanachama wa zamani wa Matthew Good Bendi.[1][2]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dave Genn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.