Daraja la Bandari ya Sydney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daraja la Bandari ya Sydney linavyoonekana kwa usiku.

Daraja la Bandari ya Sydney (kutoka kiing.: Sydney Harbour Bridge) lipo katika bandari ya Sydney, ni daraja linalounga Sydney ya Kaskazini na Sydney ya Kusini. Watu wanaweza kupita katika daraja hilo kwa gari, kutembea kwa miguu au kwa treni. Katika daraja hilo pia kuna kama pango hivi limepita chini kwa chini. Ni sehmu muhimu na kivutio kikubwa kwa watalii. Eneo hilo linavutia watalii wengi na hata watu wanaokaa karibu na eneo hilo. Kitu ambacho kinavutia sana na kufanya daraja la bandari ya Sydney kuwa maarufu ni vile lilivyo watu huwa wana kawaida ya kupanda juu na kuanza kuangalia mandhalri yalipo katika daraja hilo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: