Danny Blind

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Danny Blind
Danny Blind.

Danny Blind (aliyezaliwa 1 Agosti 1961) ni mchezaji wa zamani wa soka wa Uholanzi. Amecheza timu ya taifa ya Uholanzi.

Mwanawe, Daley Blind, anacheza timu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uholanzi.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Danny Blind kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.