Danilo Pereira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pereira (katikati) akiichezea Ureno mnamo 2015

Danilo Luís Hélio Pereira (alizaliwa tarehe 9 Septemba mwaka 1991) ni mchezaji wa soka wa Ureno ambaye anacheza klabu ya FC Porto na timu ya taifa ya Ureno kama kiungo mkabaji.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Danilo Pereira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.