Nenda kwa yaliyomo

Daniel Dikeji Miyerijesu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel Dikeji Miyerijesu
binadamu
Jinsiamume Hariri
Tarehe ya kuzaliwa1948 Hariri
Dikeji Daniel MiyeriJesu

Daniel Dikeji Miyerijesu (alizaliwa 21 Januari 1948[1])[2] ni askofu wa Nigeria, kiongozi na mwanzilishi wa Huduma ya Neema ya Mungu.

Isaiah Ogedegbe amemwita "mtakatifu aliye hai". Alianza G.G.M tarehe 5 Novemba 1993.[1]

  1. 1.0 1.1 "ABOUT G.G.M". G.G.M Official Website. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-09-22. Iliwekwa mnamo 2024-10-09.
  2. "Oromoni felicitates with Bishop Dikeji at 74". Truth Reporters. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-10. Iliwekwa mnamo 2024-10-09.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.