Daniel Akpeyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Daniel Akpeyi (alizaliwa 3 Agosti 1986) [1] ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Nigeria ambaye kwa sasa anacheza kama golikipa wa ligi ya kulipwa ya Afrika Kusini, Moroka Swallows FC na timu ya taifa ya Nigeria.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Akpeyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.