Daniel Adams
Mandhari
Daniel R. Adams (alizaliwa 1961) ni mwongozaji wa filamu za tamthilia za Kimarekani. Anajulikana zaidi kwa kuongoza na kuandika filamu The Lightkeepers, iliyoigizwa na Richard Dreyfuss na Blythe Danner, na The Golden Boys, iliyoigizwa na David Carradine, Bruce Dern, Rip Torn, Charles Durning, na Mariel Hemingway.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Daniel Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |