Daejeon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daejeon

Daejeon (Kikorea: 대전) ni mji nchini Korea Kusini. Ni mji mkubwa wa tano katika nchi wa Korea Kusini. Kuna wakazi 1,518,540 (mwaka 2010). Mji ulianzishwa 1581.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 539.86 km².

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "Daejeon" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Daejeon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.