D'Angel
Mandhari
Michelle Downer (anajulikana sana kama D'Angel, alizaliwa 1 Aprili 1978)[1] ni mwimbaji wa reggae pia ni muigizaji na balozi wa chapa kutoka Jamaika.[2] Amepewa pia hotuba za kuhamasisha. Mnamo mwaka 2017, alitoa wimbo No Worries akiwa na mwanamuziki Spice.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Reggae Artists With Birthday In April". Slapweh.com. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dancehall artiste D Angel official Biography". Dancehall. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Julai 2017. Iliwekwa mnamo 8 Desemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "D'Angel - Spice have no worries", 28 July 2017.