Nenda kwa yaliyomo

Crystal Emmanuel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Crystal Emmanuel akiwa katika olimpiki mwaka 2016

Crystal Emmanuel (alizaliwa Novemba 27, 1991) ni mwanariadha wa mbio fupi kutoka Kanada ambaye ni mzoefu wa mbio za mita 200. Ni mshindi katika mashindano yote ya mbio za mita 100 na 200 mnamo Julai ya mwaka 2018. Crystal pia anashikilia rekodi ya mita 200 ya Kanada. Alishiriki mashindano haya mnamo mwaka 2012, 2016 2020 ya olimpiki kwa majira ya joto,lakini alitolewa nusu fainali[1].Katika mashindano ya 2013 ya dunia ya Riadha,alitolewa katika vuguvugu la kupitwa kwakushindwa katika njia nyembamba.

Mama yake Rosalind Emmanuel alishindana kimataifa kuiwakilisha Barbados katika riadha katika miaka ya 1980[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Crystal Emmanuel Bio, Stats, and Results | Olympics at Sports-Reference.com". web.archive.org. 2020-04-18. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-18. Iliwekwa mnamo 2021-09-27.
  2. "Bio - EMMANUEL Crystal | NBC Olympics". web.archive.org. 2016-09-20. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-20. Iliwekwa mnamo 2021-09-27.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Crystal Emmanuel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.