Coventry City F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa mpira wa miguu wa Coventry City F.C.

Coventry City F.C. ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko huko Coventry katika mji wa West Midlands, Uingereza.

Klabu hii ilianzishwa mwaka 1883 kwa jina la Singers F.C. na Willie Stanley, mfanyakazi wa mzunguko wa Singer Motors.

Mwaka wa 1898, jina likabadilishwa na kuwa Coventry City F.C.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Coventry City F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.