Contra Latopolis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
hekalu la Isis katika Contra Latopolis

Contra Latopolis (kuna wakati liliitwa Al Hilla[1]  or El-Hella[2]) ni hekalu la misri.

Wakati wa utawala Cleopatra,[3] hekalu[4] hadi Isis [5] lilijengwa mkabala na Latopolis, au Esne kama inavyojulikana sasa,[6] kwa upande mwingine wa Nile kutoka kwenye makazi haya.  Watu wa Kirumi walilijenga hili, nakuliita jengo hilo Contra Latopolis.  Ni machache sana ya ujenzi huu yamesalia hadi zama hizi, yote isipokuwa "baraza kubwa  lililoshikiliwa na safu mbili zenye nguzo nne"


Hekalu lililojengwa pamoja na miundo hii iliyotajwa ni pamoja na, lililowekwa kwenye miinuko mikali, tufe yenye mbawa zilizonyooshwa kila upande.  Kuta za jengo hilo zilipatikana zimefunikwa na maandishi ya hieroglifiki.  Kati ya majina yao, la kwanza kati ya haya lilionyesha Cleopatra Cocce (Cleopatra III),[7] na mtoto wake wakiume Ptolemy Soter, lililoandikwa karibuni zaidi lilionyesha jina la Emperor Commodus,[8] mapambo hayo yalifanywa kati ya utawala wa Cleopatra III na Soter II.[5]


Nguzo za jengo la Contra Latopolis inasemekana na Maspero kuwa nizatokea ujenzi unaanza kipindi cha Ptolemic, nguzo za majengo kutoka Contra Latopolis ilichukuliwa kama mifano ya kitofauti hasa ya mpangilio rasmi ya usanifu ambapo mungu Hathor aliekwa kama mkuu juu ya nguzo za  mahekalu.[9]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Contra Latopolis kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.