Constance Bapela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Constance Bapela (alifariki 16 Februari 2018) alikuwa spika wa jiji la Johannesburg Afrika Kusini na mke wa waziri mstaafu wa serikali ya ushirika na maswala ya utamaduni Obed Bapela.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Constance Bapela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.