Nenda kwa yaliyomo

Conor Chaplin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chaplin mnamo 2024

Conor Mark Chaplin (alizaliwa 16 Februari 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza, ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Ipswich Town, inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza EPL.[2]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Conor Chaplin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.