Community Volunteer Service

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Onyo hili linaweza kuwekwa pia kama makala haionyeshi umaarufu, hata kama upo.

Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu

Unaweza kuondoa kigezo hiki kama majadiliano yametokea na washiriki walipatana.

Community Volunteer Service Tanzania' (Kwa Kifupi CVS) asasi isiyo ya Kiserikali lililoanzishwa mkoani Tanga mwaka 2009 [1] kwa ajili ya kuwawezesha vijana na jamii katika masuala ya Afya na afya ya uzazi kwa vijana waliopo mashuleni na wale walio nje ya mfumo wa shule.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]