Claudia Mahler
Mandhari
Claudia Mahler (alizaliwa 1969) ni msomi wa Austria ambaye pia ni mtaalamu huru wa pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu za wazee katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.[1][2][3] Dk. Mahler alichukua jukumu la kuwa kama mtaalamu wa kujitegemea mnamo mei 2020.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Developer), Md Ashequl Morsalin Ibne Kamal(Team Leader)| Niloy Saha(Sr Web Developer)| Shohana Afroz(Web Developer)| Jobayer Hossain(Web. "Violence, neglect increase for older persons during lockdown: UN expert". unb.com.bd (kwa English). Iliwekwa mnamo 2021-09-22.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Africa: World Elder Abuse Awareness Day". allAfrica.com (kwa Kiingereza). 2020-06-15. Iliwekwa mnamo 2021-09-22.
- ↑ "OHCHR | Independent Expert on the enjoyment of all human rights by older persons". www.ohchr.org. Iliwekwa mnamo 2021-09-22.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Claudia Mahler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |