Clare Wheeler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wheeler akiwa Newcastle Jets mnamo 2018

Clare May Wheeler (alizaliwa 14 Januari 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambae anacheza kama kiungo katika klabu ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya wanawake ya Australia.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Clare Wheeler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.